Appy’s Official Music Video For ‘Siwezi’
Audio Produced by Ibrah Jacko
Video Directed by Billy Lenz
Editor Sam Skillz
AD Taffa Made it
Color Grading by Chrisninah Grades
Listen to Appy on
Spotify – https://open.spotify.com/artist/22CP7pIdG3mGt7AL1Dm4gv?si=noOJjBDLTLiF514CNkOOBA
Apple Music – https://music.apple.com/tz/artist/appy/1615961106
Itunes – https://music.apple.com/tz/artist/appy/1615961106
Boomplay – https://www.boomplay.com/artists/43678047?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB&share_content=artist&share_channel=copylink&share_platform=web
Audiomack – https://audiomack.com/appy-28
Follow Appy on :-
Instagram – https://www.instagram.com/appy_tz/
Tiktok – https://www.tiktok.com/@appytzofficial?lang=en-GB
Lyrics :-
[Verse 1]
Mi napenda mapenzi ya Kizungu
Sipendi ya kiswahili
Wee unataka mapenzi ya Kizungu
Je utaweza kugombana kingereza
Masaa mawili
Mapenzi ya kizungu ngungu Hupitii mateso
Hata movie Ikiniliza
Mwenzio naletewagwa leso
Mapenzi ya kiswahili nayo yapata ghetto
Nishawahi date mtu akikata analizidi beto
Mapenzi ya kizungu yanani pagawisha
Unafunguliwa mlango
Unaambiwa baby pita
Kwenye mapenzi ya Kiswahili
hayo hakuna kabisa
Unafunguliwaje mlango
Wakati una date na madirisha
[Chorus]
Mapenzi ya kizungu kizungu zungu Mi siwezi
Mapenzi ya kiswahili uswahili Mi siwezi
Mapenzi ya kizungu kizungu zungu Mi siwezi
Mapenzi ya Kiswahili uswahili Mi siwezi
[Verse 2]
Mapenzi ya Kiswahili utukutu
Yani kupelekana dinner mpaka mtutu
Mapenzi ya Kizungu usumbufu
huku kwetu dinner
jina la mtu
We unaujua utamu akikwambia I love you
We unaujua utamu akisema nakupenda
We unaujua utamu kikwambia i need you
We unaujua Utamu akisema njoo nikupe
Mapenzi ya kiswahili uchakaramu
Ukichiti unapelekwa kwa mtalaamu
Mapenzi ya kizungu bwana haramu
Na michezo yenu ya threesome
[Chorus]
Mapenzi ya kizungu kizungu zungu Mi siwezi
Mapenzi ya kiswahili uswahili Mi siwezi
Mapenzi ya kizungu kizungu zungu Mi siwezi
Mapenzi ya Kiswahili uswahili Mi siwezi