Brand new single by Malkia Karen x Yammi “K O S H A” .
Follow Malkia Karen
Instagram: https://www.instagram.com/malkiakaren
Marketing & Promotion
Big Boy Mavin :
Instagram : https://www.instagram.com/bigboymavin
For business enquiries:
mavinmagmt@gmail.com
Malkia Karen x Yammi – K O S H A ( lyrics )
Sisi ndo vile Vitu wanataka
Nyinyi bado hamjamaliza
mnapenda mambo ya Anasa.. mh mhh
Sisi ndo hivo vitu tunataka,
Hatuombi tunaagiza na vinakuja kwa haraka
Aaiiii! Nyie hamna akili ,
hamjui kubembeleza mnatumia mwili
Aiiii! Endeleeni kujistiri
nyie muda wenu mshamaliza
Sie ndo kwanza alfajiri..
Mi Napenda House..
Mi napenda Nyumba
Mi napenda Amani
Mi napenda Uchumba
Nampenda kila hali
Mi napenda Mavumba
Japo hanijali
We akili imeyumba
Hamjajua nyinyi
Sie ndo twawakosa Roho
Mnajisumbua Bure
si twawakosa roho..
Si wangewaona Nyinyi
sie ndo twawakosa roho
Mnajisumbua bure
si twawakosha roho..
Eeh eh eh.. Oooh oh oh oh
Eeh eh ehhh.. Oooh oh oh ohh!
Si Mngekua Bahkresa kwa huko kupenda Pesa Kwenu
Haki Mnajitesa na Mnatesa hizo sehemu zenu
Si Mngekua Bahkresa kwa huko kupenda Pesa Kwenu
Haki Mnajitesa na Mnatesa hizo sehemu zenu
Nyie Hamjui Kunesa nesa
maana hizo sio style zenu
Hii micheza yakisasa
Nyie mlichezaga Bolingo Mayenu..
Ohh hali.. Ooh habari
hawawapendi maana nyie mmezeeka mwili
Haalii ohh habarii
Wanapenda Tumechangamka kama Pilipili
Mi Napenda House..
Mi napenda Nyumba
Mi napenda Amani
Mi napenda Uchumba
Nampenda kila hali
Mi napenda Mavumba
Japo hanijali
We akili imeyumba
Hamjajua nyinyi
Sie ndo twawakosa Roho
Mnajisumbua Bure
si twawakosa roho..
Si wangewaona Nyinyi
sie ndo twawakosa roho
Mnajisumbua bure
si twawakosha roho..
#MalkiaKaren #Kosha #Yammi