Brand new single by Whozu ” Forever “.

Follow Whozu
Instagram: https://www.instagram.com/whozu_#whozu
Whozu – Forever (lyrics )

VERSE 1.
Nkionesha Nampenda Mnanifokea…
Hamtaki hata Niwe nae Mnanipondea…
Na vile hamtupendi ilo Naelewa…
Utaskia Hawaendani wale na picha Mnashare…

Sawa me king’ang’a kweli
hilo sijapinga…
tatizo nkipenda napenda
Naingia mazima….
Ntafanyaje king’ang’a tena
ndo nishapenda..
semeni msemavyo, siogopi
tena naringaa anhaaa

CHORUS.
AaAaaa eeeee kesho na Badae
ntampenda kesho na Badae..X2

VERSE 2.
Afadhali baby Afadhali
Amani naipata kwako(Naipata kwako)
staki shari baby staki sharii
ugomvi na ndugu zako.. yeeeah

baby sina kona kona kona koooona!!
kidogo changu changu chako penzi limeshooona..
Na bado bado bado Mtaisomaaaa
wasiopenda me niwe wako
Mungu anawaona….

BRIDGE;
Sawa me king’ang’a kweli
hilo sijapinga…
tatizo nkipenda napenda
Naingia mazima….
Ntafanyaje king’ang’a tena
ndo nishapenda..
semeni msemavyo, siogopi
tena naringaa anhaaa

CHORUS…..
aaah eeeeeh kesho na Badae
Ntampenda kesho na badae…X2

#Whozu #Forever #DonDingoo