“Mkuu Wa Majeshi” finds both Young Lunya and Harmonize standing tall as leaders in their respective lanes, one a generational rap voice pushing the boundaries of Swahili hip-hop, the other a hit-making powerhouse who has become one of East Africa’s most recognizable stars.
Social Media Links
Facebook: https://www.facebook.com/YoungLunyaOfficial/
Instagram: https://www.instagram.com/younglunya/
TikTok: https://www.tiktok.com/@younglunya
Haina cha ucheshi hatuchekeshi
Shori anapumulia gesi
I’m not a killer but I’m killing this shit
Ukipatwa na uchungu kanifungulie kesi
Ninaunguza I’m hot she’s cold
Na ndio maana mara ya kwanza alijichukulia keki
Mi naichapa kikamanda yeye na wenzake wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Yeye na wenzake wananiita mjeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Yeye na wenzake wananiita mjeshi
Man I feel like mkuu wa majeshi nyota ni nyingi kama nimepitia depo
Wamenipa aka ya bendera ni kwakua naondoka na upepo
I can’t speak much Spanish “quiero mi dinero” my nigga I want my pesos
We don hang with the stupid ass one inabidi uwe level za kina madam seko
Na wakisema ni mbaya ni mbaya
Moyo wangu bongo ila unyama ni ulaya
Ndio maana chupi zinapiga makasia
Ni kwakua kwenye parties nawapelekea fire
Sina ubaya mkinipenda nawapenda
Kwenye kidani almasi zinacheza
Kanavyonipa never seen it like this
Ila kosa ni la chungwa kulimenya kama chenza
Speaking the truth coming out of my chest
This is why I’m doing nobody does
Rappers wakali wamebaki wawili ni mimi na mimi the last of us
Hata nikikaa kimya hamfanyi chochote, Jesus can save you siwapi nafasi
Nakinukisha S.O.S what u gon do 911? Bitch
Haina cha ucheshi hatuchekeshi
Shori anapumulia gesi
I’m not a killer but I’m killing this shit
Ukipatwa na uchungu kanifungulie kesi
Ninaunguza I’m hot she’s cold
Na ndio maana mara ya kwanza alijichukulia keki
Mi naichapa kikamanda yeye na wenzake wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Yeye na wenzake wananiita mjeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Yeye na wenzake wananiita mjeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Siongei sana men I’m talking with the cash
Oya kwenye camera mi mcheshi, beach sijamaliza bado kama sikunyeshi
We started from the ghetto now we here (mh)
With my whole team now we here (yes)
How we made it here! No retreat no surrender no fear
Konde boy Jacob Mkunda
Ukiniona kama umeviona vibunda
Pisi ya kwako ukinifuma nakudunda
Vua nivue tuoneshane nani punda
Speaking from my heart aisee
Konde sio level zao I swear
It’s funny how I’m getting older na sijategemea
Omari papy cocha naenda kama babu seya
Imma head of my dreams, die for my team
Nafanya watoto wana scream, since I was a teen
Hakuna wakunishusha hapa juu no no no no! No no!
Keep praying for my downfall
Haina cha ucheshi hatuchekeshi
Shori anapumulia gesi
I’m not a killer but I’m killing this shit
Ukipatwa na uchungu kanifungulie kesi
Ninaunguza I’m hot she’s cold
Na ndio maana mara ya kwanza alijichukulia keki
Mi naichapa kikamanda yeye na wenzake wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Yeye na wenzake wananiita mjeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Wananiita mkuu wa majeshi
Yeye na wenzake wananiita mkuu wa majeshi
Music video by Young Lunya, Harmonize performing Mkuu wa Majeshi (Official Music Video).(C) 2026 Sony Music Entertainment East Africa Limited